TOP HORIZONTAL BAR

Thursday 7 April 2016

Habari wana-Njombe kwa ujumla wetnu. Wana-Njombe ni wamoja kwa maendeleo ya  Njombe yetu. ninayo furaha kubwa kuielezea Njombe kua ni moingni mwa mikoa michache inayopata mvua nyingi na hivyo kuwa miongoni mwa mikoa inayozalisha kwa wingi zao la viazi, mahindi, miti ya kupandwa na mazao

makambako home

Sunday 13 March 2016

NAKUPENDA MAKAMBAKO DAIMA

Makambako ni miongoni mwa miji inayokuwa kwa kasi kubwa sana hapa nchini Tanzania. Mji wa Makambako unapatikana upande wa  kusini  mwa nchi yetu ya Tanzania, na ndilo eneo ambalo ni kiungo  mhimu kwa kwenda mikoa yote ya kusini mwa Tanzania ikiwemo Mbeya, Ruvuma, Songosongo, Simiyu, Rukwa na mikoa mingineyo iliyo karibu ikiwemo Mtwara na Lindi. Mandhari ya mji huu ni mazuri na ni mji wenye asili ya ubaridi na hivyo kururhusu pilikalika za kibiashara kuendelea wakati wote (mchana na usiku). Hata hivyo kuwepo kwa njia kuu za usafirishaji na wa barabara (njia panda) na njia kuu ya reli (TAZARA) kumeufanya mji huu kuwa ni  mji maarufu kwa biashara.

Sunday 21 February 2016

                                                 JAMANI MAKAMBAKO SHANGWE

                                                  karibuni wana-Makambako changia mada.



Amani kwetu wana-makambako, kama wewe unavyoipenda makambako yetu, mimi naipenda sana makambako yetu yamkini nahisi ni zaidi hata ya wewe. natamani ingewezekana basi niishi niishi maisha yangu yote hapa makambako. lakini ugumu wa maisha ndo kikwazo kwetu sisi sote.

MUNGU IBARIKI MAKAMBAKO, WABARIRKI WANA-MAKAMBAKO NA BARIKI MALI ZAO PIA.

Popular Posts