TOP HORIZONTAL BAR

Sunday 13 March 2016

NAKUPENDA MAKAMBAKO DAIMA

Makambako ni miongoni mwa miji inayokuwa kwa kasi kubwa sana hapa nchini Tanzania. Mji wa Makambako unapatikana upande wa  kusini  mwa nchi yetu ya Tanzania, na ndilo eneo ambalo ni kiungo  mhimu kwa kwenda mikoa yote ya kusini mwa Tanzania ikiwemo Mbeya, Ruvuma, Songosongo, Simiyu, Rukwa na mikoa mingineyo iliyo karibu ikiwemo Mtwara na Lindi. Mandhari ya mji huu ni mazuri na ni mji wenye asili ya ubaridi na hivyo kururhusu pilikalika za kibiashara kuendelea wakati wote (mchana na usiku). Hata hivyo kuwepo kwa njia kuu za usafirishaji na wa barabara (njia panda) na njia kuu ya reli (TAZARA) kumeufanya mji huu kuwa ni  mji maarufu kwa biashara.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts